Trending Bestseller

Chozi langu litafutwa lini ?

Jane Davis Mwanizuwa Sabini

No reviews yet Write a Review
Paperback / softback
15 November 2024
$32.00
Ships in 5–7 business days
Hurry up! Current stock:
Riwaya hii inahusu unyanyasaji wa kijinsia, ndoa za utotoni, na ukatili katika jamii ya Kiafrika. Inaelezea kwa undani namna changamoto hizi zinavyoathiri maisha ya wasichana na wanawake. Mhusika mkuu ambaye ni msichana mdogo, anakabiliana na maisha ya dhuluma, ukosefu wa haki, na shinikizo la kuolewa akiwa bado mtoto, hali inayozuia maendeleo yake ya kielimu na ndoto zake.Katika riwaya hii, mhusika mkuu anaonyeshwa akikumbana na unyanyasaji wa kijinsia kutoka kwa wanaume wakubwa au hata watu wa karibu katika jamii, hali inayomuacha na makovu ya kimwili na kiakili. Pia, jamii inaonekana kushindwa kumsapoti, huku sheria na haki zikionekana kutotenda haki kwa wanawake na wasichana wanaokandamizwa.Riwaya hii inabainisha changamoto wanazopitia wasichana wanaolazimishwa kuolewa wakiwa watoto, mara nyingi kutokana na umaskini au mila potofu zinazoendelezwa kizazi baada ya kizazi. Athari za ndoa hizi zinaonekana katika afya yao, elimu, na uwezo wa kujikomboa kiuchumi na kiakili.

This product hasn't received any reviews yet. Be the first to review this product!

$32.00
Ships in 5–7 business days
Hurry up! Current stock:

Chozi langu litafutwa lini ?

$32.00

Description

Riwaya hii inahusu unyanyasaji wa kijinsia, ndoa za utotoni, na ukatili katika jamii ya Kiafrika. Inaelezea kwa undani namna changamoto hizi zinavyoathiri maisha ya wasichana na wanawake. Mhusika mkuu ambaye ni msichana mdogo, anakabiliana na maisha ya dhuluma, ukosefu wa haki, na shinikizo la kuolewa akiwa bado mtoto, hali inayozuia maendeleo yake ya kielimu na ndoto zake.Katika riwaya hii, mhusika mkuu anaonyeshwa akikumbana na unyanyasaji wa kijinsia kutoka kwa wanaume wakubwa au hata watu wa karibu katika jamii, hali inayomuacha na makovu ya kimwili na kiakili. Pia, jamii inaonekana kushindwa kumsapoti, huku sheria na haki zikionekana kutotenda haki kwa wanawake na wasichana wanaokandamizwa.Riwaya hii inabainisha changamoto wanazopitia wasichana wanaolazimishwa kuolewa wakiwa watoto, mara nyingi kutokana na umaskini au mila potofu zinazoendelezwa kizazi baada ya kizazi. Athari za ndoa hizi zinaonekana katika afya yao, elimu, na uwezo wa kujikomboa kiuchumi na kiakili.

Customers Also Viewed

Buy Books Online at BookLoop

Discover your next great read at BookLoop, Australiand online bookstore offering a vast selection of titles across various genres and interests. Whether you're curious about what's trending or searching for graphic novels that captivate, thrilling crime and mystery fiction, or exhilarating action and adventure stories, our curated collections have something for every reader. Delve into imaginative fantasy worlds or explore the realms of science fiction that challenge the boundaries of reality. Fans of contemporary narratives will find compelling stories in our contemporary fiction section. Embark on epic journeys with our fantasy and science fiction titles,

Shop Trending Books and New Releases

Explore our new releases for the most recent additions in romance books, fantasy books, graphic novels, crime and mystery books, science fiction books as well as biographies, cookbooks, self help books, tarot cards, fortunetelling and much more. With titles covering current trends, booktok and bookstagram recommendations, and emerging authors, BookLoop remains your go-to local australian bookstore for buying books online across all book genres.

Shop Best Books By Collection

Stay updated with the literary world by browsing our trending books, featuring the latest bestsellers and critically acclaimed works. Explore titles from popular brands like Minecraft, Pokemon, Star Wars, Bluey, Lonely Planet, ABIA award winners, Peppa Pig, and our specialised collection of ADHD books. At BookLoop, we are committed to providing a diverse and enriching reading experience for all.