Trending Bestseller

Annie na Mawimbi

by Lambeth
No reviews yet Write a Review
Paperback / softback
24 October 2022
RRP: $18.70
$18.05
Ships in 3-5 business days
Hurry up! Current stock:

Annie na familia yake wanaenda pwani kwa likizo.

Waokoaji wawili wa mawimbi wanatembelea shule ya Annie na anajifunza jinsi ya kukaa salama ufukweni.

Annie anagundua kwamba bahari inabadilika. Mwanzoni anahofia mawimbi lakini baada ya kuwakuta na waokoaji wa mawimbi, na pamoja na usaidizi wa familia yake, Annie hugundua hivi karibuni furaha ya kuogelea pwani.

Ujasiri wa Annie unaongezeka hadi anapopata wimbi kubwa ambalo humvuta ndani ya maji mengi zaidi.

Je, atakumbuka jinsi ya kuwaambia wakoaji wa mawimbi kwamba anahitaji usaidizi?


'Annie na Mawimbi' ni kitabu juu ya jinsi ya kukaa salama pwani.

Wakati unaposoma kitabu hiki utajifunza:

·      Waokoaji wa mawimbi wanavaa nyekundu na manjano

·      Unapaswa kuogelea katikati ya bendera nyekundu na manjano

·      Baadhi ya fukwe ni salama zaidi kuliko zingine

·      Kuna aina tofauti za mawimbi, baadhi yao ni salama zaidi kuliko mengine

·      Ikiwa unapata shida katika maji, tulia na inua mkono wako kuonyesha waokoaji wa mawimbi unahitaji msaada

·      Kuwa salama juani ufukweni. Vaa kofia na fulana ya kuogolea, na usisahau kupaka krimu ya kuzuia jua kabla ya kwenda nje katika juani

Na...

·      Hupaswi kamwe kuingia ndani ya maji peke yako!

You Can Find This Book In

    Book Details
    ISBN-13
    9780648675136
    Author
    Lambeth
    Publisher
    Publicious Self-Publishing
    Published
    24 October 2022
    Format
    Paperback / softback

    This product hasn't received any reviews yet. Be the first to review this product!

    RRP: $18.70
    $18.05
    Ships in 3-5 business days
    Hurry up! Current stock:

    Annie na Mawimbi

    RRP: $18.70
    $18.05

    Description

    Annie na familia yake wanaenda pwani kwa likizo.

    Waokoaji wawili wa mawimbi wanatembelea shule ya Annie na anajifunza jinsi ya kukaa salama ufukweni.

    Annie anagundua kwamba bahari inabadilika. Mwanzoni anahofia mawimbi lakini baada ya kuwakuta na waokoaji wa mawimbi, na pamoja na usaidizi wa familia yake, Annie hugundua hivi karibuni furaha ya kuogelea pwani.

    Ujasiri wa Annie unaongezeka hadi anapopata wimbi kubwa ambalo humvuta ndani ya maji mengi zaidi.

    Je, atakumbuka jinsi ya kuwaambia wakoaji wa mawimbi kwamba anahitaji usaidizi?


    'Annie na Mawimbi' ni kitabu juu ya jinsi ya kukaa salama pwani.

    Wakati unaposoma kitabu hiki utajifunza:

    ·      Waokoaji wa mawimbi wanavaa nyekundu na manjano

    ·      Unapaswa kuogelea katikati ya bendera nyekundu na manjano

    ·      Baadhi ya fukwe ni salama zaidi kuliko zingine

    ·      Kuna aina tofauti za mawimbi, baadhi yao ni salama zaidi kuliko mengine

    ·      Ikiwa unapata shida katika maji, tulia na inua mkono wako kuonyesha waokoaji wa mawimbi unahitaji msaada

    ·      Kuwa salama juani ufukweni. Vaa kofia na fulana ya kuogolea, na usisahau kupaka krimu ya kuzuia jua kabla ya kwenda nje katika juani

    Na...

    ·      Hupaswi kamwe kuingia ndani ya maji peke yako!

    You Can Find This Book In

      This Book Is Categorised As